Sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
AudioMPYA: Diamond na Rayvanny wametuletea hii single mpya…
Ni single mpya ya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz iitwayo Salome ambapo time hii amemshirikisha msanii wake kutoka WCB aitwae Raymond aka Rayvanny.Wimbo umetayarishwa kutoka studio za Wasafi Records chini ya producer Leizer Classic.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment