Mitandao ya kijamii ni miongoni mwa vitu vyenye nguvu na ushawishi mkubwa katika tasnia mbalimbali, leo Septemba 16 2016 naomba nikusogezee TOP 5 ya watu maarufu duniani kwenye mitandao ya kijamii ambapo ili uweze kujikusanyia watu ni lazima uwe na ushawishi na mvuto fulani kwa watu au kutokana na kazi yako nzuri.
Katika TOP 5 hii jina la mwanaume aliyetajwa ni mmoja tu na ndio staa wa soka pekee aliyekuwemo katika list hiyo Cristiano Ronaldo ambaye yupo nafasi ya pili akizidiwa na mrembo Tylor Swift kwa tofauti ya followers milioni 8, wakifuatiwa na Katty Perry,Selena Gomez na muimbaji Rihanna.
0 comments:
Post a Comment