www.kenethngamoga.blogspot.com

Yusuph Manji anaripotiwa kujitoa Yanga kwa sababu mbili za msingi

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu wazo la mfanyabiashara na mwenyekiti wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Yusuph Manji kuomba ridhaa ya kuikodi klabu hiyo kwa kipindi cha miaka 10 kupingwa na baadhi ya watu.
Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu wazo la mfanyabiashara na mwenyekiti wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Yusuph Manji kuomba ridhaa ya kuikodi klabu hiyo kwa kipindi cha miaka 10 kupingwa na baadhi ya watu.
Habari zilizoenea katika mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wa ndani ya Yanga leo August 15 2016 ni kuwa mwenyekiti wao Yusuph Manji anajiondoa rasmi na kuachia nafasi ya uenyekiti wa Yanga kwa sababu ya maneno kuwa mengi na kudai kusemwa na wanasiasa kuhusu wazo lake.
Sababu mbili zinazodaiwa kumfanya Yusuph Manji amejiondoe  ndani ya Yanga ni kusemwa na baadhi ya viongozi wa serikali na baadhi ya viongozi wa Yanga ambao wanatajwa kutumiwa na baadhi ya wafanyabiashara kwa maslahi yao binafsi, badoManji hajatangaza rasmi kupitia vyombo vya habar
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment