www.kenethngamoga.blogspot.com

Poland na Ujerumani wameingia hatua ya mtoano

Euro 2016 imeendelea tena leo June 21 2016 kwa michezo miwili ya kuhitimisha Kundi C, Northern Ireland amecheza dhidi ya Ujerumani na kufungwa goli 1-0, wakati Ukraine walikubali kipigo cha goli 1-0 kutoka  Poland, matokeo hayo yameifanya Poland na Ujerumani kutinga hatua ya mtoano


stand
.


https://youtu.be/N6D21SbmLs8
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment