Rapper Chidi Benz ame-share video hii kwenye ukurasa wake wa Instagram Ikimuonyesha akifanya mazoezi ya pumzi ikiwa ni pamoja na push up, Lakini pia ikimuonyesha akipigwa picha.
Katika video hii ambayo ameshare, Chidi Benz ameandika “Kila kitu ni kuamua na kumuomba mungu. Pray for me #newchidibeenz”
Dondosha comment yako hapo chini juu ya muonekano na ujio mpya wa Chidi Benz
0 comments:
Post a Comment