www.kenethngamoga.blogspot.com

Wadau wa siasa na wapenzi wa vyama vya upinzani walalamikia kukamatwa kwa wabunge wa upinzani

Wadau mbali mbali wa siasa hapa nchini wamelalamiki hatua ya vyombo vya dola kuingilia kati katika chaguzi mbalimbali zinazofanyika katika ngazi za halimashauri,miji pamoja na ngazi ya umeya

Halima mdee akipelekwa gerezani
Maoni hayo ya wadau wa siasa nchini yamejiri ikiwa ni siku moja tu tangu kukamatwa na kuwekwa gerezani mbunge wa jimbo la kawe na mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa chadema taifa Halima mdee
Mh mdee akipelekwa Gerezani february 29

Kupitia mtandao wa twitter na facebool baadhi ya wadau walikuwa na hayo


Napoona haya yanayoendelea nchini naumia sn juu ya jeshi la Polisi. Natafakari sana. Nakumbuka mengi sana, kisha...
Posted by Malisa Godlisten on Tuesday, March 1, 2016


Wakati hayo yakijiri Dar es salaam wilayani kilombero nako mambo hayana tofauti ambapo asubuhi ya tarehe 1,mwezi mchi kulikuwa na zoezi la kuchagua mwenyekiti wa halimashauri ambapo mbunge wa jimbo la kilombero Mh Peter Ambros Lijualikali alikamatwa na kuachiliwa mchana huku uchaguzi ukifanyika na mshindi kupatika kupitia chama cha mapinduzi
Mh Peter Lijualikali(mbunge kilombero)

picha na Maktaba



Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment