www.kenethngamoga.blogspot.com

Wachora vikatuni wazidi kuwafikia wananchi

Katika jamii kwa sasa kumekuwa na mambo mengi ynayoendelea na kila mmoja anajaribu kubuni namna ya kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa ujumla na hii uchangiwa sana na ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo facebook,twitter,instagram na snapchart
Wachora vikatuni nao ni miongoni mwa wale wanaotumia njia ya vikatuni katika kufikisha ujumbe huku baadhi ya walengwa wakilalamikia hatua hiyo



Rejected by Editor.
Posted by Masoud Kipanya on Monday, March 21, 2016
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment