www.kenethngamoga.blogspot.com

Kipaji cha Raymond kilianza kuonekana mwaka 2011 baada ya kushiriki kwenye mashindano ya FreeStyle  mkoa wa Mbeya na kuwa mshindi wa kwanza,alipokuja Dar akaibuka pia mshindi ndipo TipTop Connection ilipomchukua na kuwa chini yake,Raymond ameshaonekana kwenye majukwaa 
Raymond ameshaonekana kwenye majukwaa mengi hasa kwenye show zaMadee,Kutokana na ukaribu wa Lebo ya TipTop Connection na WCB,Menejimenti zimekaa chini na kukubaliana kumtoa kupitia lebo ya WCB.

Sasa leo ndio katambulishwa rasmi ktka vituo mbalimbali vya redio na hapa anakukaribisha kuisikiliza hii single yake mpya iitwayo Kwetu
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment