www.kenethngamoga.blogspot.com

Fifa yatangaza Viwango vya soka Dunian,Ubelgiji yaongoza ,Tanzania je????

Kama ni mpenzi wa soka duniani basi list ya viwango vipya vya soka ulimwenguni imetangazwa leo March 3, FIFA imetangaza viwango hivyo vya FIFA na nchi ya Ubelgijiambayo anacheza soka la kulipwa mtanzania Mbwana Samatta ipo nafasi ya kwanza ikufuatiwa na Argentina.
12
Kwa upande wa Tanzania ipo nafasi ya 125 ukilinganisha na miezi miwili nyuma ilikuwa 126, huku kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki Uganda imeendelea kuongoza kwa kushika nafasi ya 67 sawa na IsraelRwanda ipo nafasi ya 85 na Kenya ipo 103. Kwa Afrika nzima Ivory Coast ndio wanaongoza kwa Afrika na dunia wapo nafasi ya 36 Kutazama orodha kamili BONYEZA HAPA
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment