www.kenethngamoga.blogspot.com

Belle 9 Amdis Diamond Platnumz Kupitia instagram kisha kabadilisha jina na kuufuta ujumbe alioupost

Usiku wa March 2 kuamkia March 3 jina la mkali kutoka Bongoflevani Belle 9 lilirudi kwenye headlines baada ya kuonekana kwa post katika mtandao wa Instagram inamdisDiamond Platnumz lakini baadae inadaiwa kufutwa na account ya msaani huyo kufanyiwa mabadiliko ya jina.
Baada ya muda stori zilianza kuzagaa mitandaoni kuwa post hiyo sio ya kweli huku wengine wakisema kuwa ni Belle 9 ndio kaandika post hiyo na kuifuta, baada ya hapo akatofautisha jina lake la instagrama kwa nukta ili hasijulikane kuwa kapost yeye. Hizo ni tetesi tu ukweli bado
2016-03-03 05.55.04
Account ya Bellle 9 awali ilidaiwa jina kusomeka hivi, ila baada ya kupost picha na ujumbe huo na kufuta, account hiyo inatajwa kufanyiwa mabadiliko na kuondolewa nukt
a
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment