www.kenethngamoga.blogspot.com

SUPER STAR JACK WOLPER AAMBULIA MATUSI MTANDAONI BAAD YA KUPOST PICHA YA MAZISHI,AFUNGUKA MAZITO

Jack Wolper amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupost mtandaoni picha ya maiti ya Marehemu Kaloosh ikiwa katika jeneza...Baada ya tukio hilo watu

Jack Wolper amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupost mtandaoni picha ya maiti ya Marehemu Kaloosh ikiwa katika jeneza...Baada ya tukio hilo watu mbali mbali walianza kumkosoa na wengine kumrushia matusi kwenye page yake kwa kusema sio sahihi kipost picha kama hizo..


Mwenyewe leo amefunguka kama ifuataavyo:

"Jamani insta NAOMBENI muwe na mipaka kwanza mnatakiwa mjue hii ni acc yangu sishei na mtu yoyote..pili nimekosea nimewaelewa kwann mnitukane jamani wakati nilielewa sikilizeni mm ni dada na ni mchumba wa mtu na vilevile sio bora dada ni dada bora naheshimika kwangu mpk kwetu sawa kwahiyo mnapoandika matusi YENU wadogo zangu wanaumia mbali na mm naombeni sana Mkome na msinizoee kunitukana kwasababu naumia na mnawaumiza ndugu zangu na wengine ambao wamenifollow sitaki sitaki huwezi kunishauri mpk unitikane unfollow sina nguvu ya superglue kusema nimewagandisha tafadhari...sipendi nasema tena sipendi mbona mm siwafati kwenye acc zenu kuwatukana from no where jamani MNIACHE plz" Jack Wolper
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment