www.kenethngamoga.blogspot.com

"Nampenda yeye" ndio ilinitoa kimaisha-Temba


Gwiji wa Muziki wa Bonge Fleva Mhe. Temba amefunguka kuwa llbum yake ya kwanza ya nampenda yeye ndio iliyomfungulia Maisha na mafanikio katika muziki wake
Mhe. Temba
Mhe. Temba ambae anaunda kundi la TMK Familly akiwa anashirikia pia kwa ukaribu na Chege, amesema kuwa alilazimika kununua fanicha za ndani kutokana na mauzo ya album hiyo, ambapo aliweza kubadili hata maisha ya nyumba ya familia aliyokuwa anaishi.
Temba amesema wakati anaingia katika muziki shagazi yake ambae ndie alikua mlezi wake, alikua hataki kabisa yeye kujihusisha na muziki lakini baada ya kubadilisha nyumbani kwa album hiyo, ndio milango yake kwenye game ikafunguka.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment