www.kenethngamoga.blogspot.com

Roma Mkatoliki anaoa… nimezinasa picha 6 kutoka kwenye send-off

Roma Mkatoliki ni msanii kutoka kwenye ukoo wa bongofleva ambaye anaimiliki post hii 

kutokana na maamuzi yake ya kuamua kuoa, pich

Roma Mkatoliki ni msanii kutoka kwenye ukoo wa bongofleva ambaye anaimiliki post hii kutokana na maamuzi yake ya kuamua kuoa, picha hizi naambiwa ni kutoka kwenye Send-off akisindikizwa na mpambe wake akiwa ni Kala Jeremih ambaye pia ni msanii wa bongofleva.
roma 5
Kwenye picha ya pamoja na Mama
roma 3
Kala Jeremih na Roma
Roma 7
Roma 2
roma 4

Roma 1
Roma na Nancy ambaye ni mama wa mtoto wake aitwae Ivan (picha zimetoka kwa @KalaJeremiah Instagram
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment