www.kenethngamoga.blogspot.com

Maneno ya Ommy Dimpoz baada ya Ngoma mpya ya Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako’B6

Siku moja baada ya Staa wa bongo fleva Nay wa Mitego kuiachia ngoma yake ya ‘Shika 

adabu yako’ ambayo ndani yake kawazungumzia baadhi ya wasanii akiwemo Ommy

Siku moja baada ya Staa wa bongo fleva Nay wa Mitego kuiachia ngoma yake ya ‘Shika adabu yako’ ambayo ndani yake kawazungumzia baadhi ya wasanii akiwemo Ommy Dimpoz, sasa leo Feb 10 Ommy Dimpoz kupitia account yake ya Instagram kaamua kumjibu kwa kuandika maneno haya..
ON AIR
Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako 😂 inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani 😄vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza 😜 Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki 😋🍆nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 😄😄 Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi 😂Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy#ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema 😊
Waweza kuisikiliza ngoma ya nay wa mitego kwa kubonyeza play hapo chini
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment