Kituo cha Television cha MTV BASE kimepewa tena nafasi ya kuionyesha kwa mara ya kwanza video ya mdundo mpya wa mwimbaji wa bongofleva Tanzania Diamond Platnumz time hii akiwa na rapper wa South Africa AKA na huo mdundo unaitwa ‘MAKE ME SING‘
Mdundo huu mpya unadrop Ijumaa ya February 12 2016 ambapo toka February 9Diamond Platnumz aliwaambia mashabiki zake wakae tayari kwa single mpya kama inavyosomeka Tweet yake hapa chini.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
0 comments:
Post a Comment