www.kenethngamoga.blogspot.com

Kuelekea mchezo wa Simba Vs Yanga Feb 20, hivi ni vibonzo 9 ambavyo hutumiwa na mashabiki kutaniana (+Pichaz)

Mtu wangu wa nguvu kwa wapenzi wa soka la Bongo kwa sasa ni kuhusu mchezo kati 

yaSimba dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya February 20 katika uwanja wa Taifa mchezo ambao unazikutanisha timu zote zenye nafasi ya

Mtu wangu wa nguvu kwa wapenzi wa soka la Bongo kwa sasa ni kuhusu mchezo kati yaSimba dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya February 20 katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, mchezo ambao unazikutanisha timu zote zenye nafasi ya kutwa Ubimgwa wa Ligi Kuu, huu ni mchezo wa marudiano na kisasi kwa Simba, au Yangawaendeleze ubabe baada ya mchezo wa awali Simba kukubali kufungwa kwa jumla ya goli 2-0.
Kwa sasa Simba wapo nafasi ya kwanza wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu wakiwa na jumla ya point 45 katika mechi zao 19 walizocheza, lakini Yanga wapo nafasi ya pili wakiwa na point 43 katika michezo yao 18 waliocheza wakiwa na kiporo cha mchezo mmoja. Huo ni mchezo wenye utani, presha kwa mashabiki na kejeli za hapa na pale. Mtu wangu wa nguvu tukiwa tunaelekea mchezo huo, enjoy kwa vibonzo 9 ambavyohutumiwa na mashabiki wa Simba na Yanga kutania mitandaoni baada ya mchezo kumalizika na mmoja kati ya timu hizo akiwa kaibuka mshindi.
katuni-championiSimba vs YangaYANGA
katuni majir 12.7.11
katuni majira 5.3.11
katuni_watani
ramaa

rama
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment