Habari za hivi punde ni ya watu 11 kufariki na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali iliyoh
usisha basi la kampuni ya Simba na Lori lililokuwa limebeba mchanga na kugongana uso
kwa uso Mkoani Tanga
Habari za hivi punde ni ya watu 11 kufariki na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Simba na Lori lililokuwa limebeba mchanga na kugongana uso kwa uso Mkoani Tanga.
Akihojiwa na ITV kamanda wa Polisi Tanga RPC Mihayo Mskhela amesema ‘Hadi sasa kuna vifo vya watu 11, maiti sita na utaratibu wa kuwakabidhi ndugu unafanyika.’
Vipi kuhusu hali za majeruhi? ‘Majeruhi watano hali zao hadi sasa sio nzuri na Madereva wote wamefariki‘ Kamanda Mihayo
0 comments:
Post a Comment