Mkali wa nyimbo za Asili Mrisho Mpoto ametuletea singo yake mpya inaitwa Sizonje ambayo kamshirikisha Banana Zoro na Farida pia Mrisho Mpoto amefanikiwa kuingia kwenye mashindano ya tuzo za Kora kwenye kipengele cha Nyimbo za Asili na wimbo uliomuingiza ni Waite.Mkali wa nyimbo za Asili Mrisho Mpoto ametuletea singo yake mpya inaitwa Sizonjeambayo kamshirikisha Banana Zoro na Farida pia Mrisho Mpoto amefanikiwa kuingia kwenye mashindano ya tuzo za Kora kwenye kipengele cha Nyimbo za Asili na wimbo uliomuingiza ni Waite.
Kura zimeanza kupigwa leo Tar 20 na kama unahitaji kumpigia kura ‘Mjomba‘ unaandikaKORA 67 kisha unatuma kwenda +248084000 mwisho wa kupiga kura hizi ni mwezi wa tat
u
u
0 comments:
Post a Comment