www.kenethngamoga.blogspot.com

Raisi mstaafu ampongeza mbwana samata kwa kufunga gori lake la kwanza akiwa GENK

Raisi mstaafu wa awamu ya nne wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho kikwete amempongeza mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana ali samata maarufu kama #Samagoal77 kwa kufunga goli la kwanza tangu alipojiunga na klabu yake ya sasa YA kr Genk

Kupitia akaunti yake ya twitter mapema asubuhi ya tarehe 29 kikwete amempongeza Samata kwa ushindi huo na kumtaka akaze buti kwa kuzingatia juhudi na Nidhamu



Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment