www.kenethngamoga.blogspot.com

Moto wa Rais Magufuli umeendelea bandarini, wengine wamesimamishwa leo.. By Newsroom TZA on December 7, 2015 164 shares Share Tweet Share Share comments Mpaka leo hii December 07 2015 tunahesabu kama mwezi mmoja hivi umepita tangu Rais Magufuli aapishwe na aanze kazi ya Urais wa awamu ya tano Tanzania. Mfululizo wa stori zenye uzito wa kasi yake kwenye Urais zimekuwa zikitufikia kila siku, ya leo bado inabeba headlines za bandarini kwa mara nyingine… tangu siku ya kwanza Waziri Mkuu Majaliwa Kassim amefanya ziara ya ghafla bandarini mengi yameripotiwa ikiwemo ishu ya ubadhirifu, rushwa, kukwepa kodi ya upotevu wa makontena. Mpya iliyonifikia kutoka bandarini inahusu kutenguliwa kwa uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa bandari, Awadhi Massawe, na pia kuvunja bodi ya bandari Dar es Salaam. Kingine ni kwamba Rais Magufuli pia amemsimamisha kazi Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Shabani Mwanjaka


Mpaka leo hii December 07 2015 tunahesabu kama mwezi mmoja hivi umepita tangu Rais Magufuli aapishwe na aanze kazi ya Urais wa awamu ya tano Tanzania.
Mfululizo wa stori zenye uzito wa kasi yake kwenye Urais zimekuwa zikitufikia kila siku, ya leo bado inabeba headlines za bandarini kwa mara nyingine… tangu siku ya kwanza Waziri Mkuu Majaliwa Kassim amefanya ziara ya ghafla bandarini mengi yameripotiwa ikiwemo ishu ya ubadhirifu, rushwa, kukwepa kodi ya upotevu wa makontena.
Mpya iliyonifikia kutoka bandarini inahusu kutenguliwa kwa uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa bandari, Awadhi Massawe, na pia kuvunja bodi ya bandari Dar es Salaam.
Kingine ni kwamba Rais Magufuli pia amemsimamisha kazi Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Shabani Mwanjaka
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment