www.kenethngamoga.blogspot.com

Mbunge wa kilombero Atoa ya moyoni Baada ya kikao cha Baraza la madiwani kuhairishwa

Mbunge wa jimbo la kilombero peter lijualikali ameelezea masikitiko yake baada ya kikao cha baraza la madiwani kuahirishwaleo tarehe 15/12/2015  
Kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika>>>>>>>
Chama cha Mapinduzi kimejiaibisha sana, leo tarehe 15.12.2015.Kwanini hawakutokea katika kikao cha baraza la madiwani...
Posted by Peter Lijualikali on Tuesday, December 15, 2015
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment