www.kenethngamoga.blogspot.com

New video Kcee_ ‘AGBOMMA’>>>Ikiwa imepita miezi mitatu tangu super star huyo kutoka nchini nigeria aacjie kazi yake inayojulikana kwa jina la love boat

Wakati Ngoma ya ‘Love Boat’ ya Kcee aliyomshirikisha Diamond Platnumz bado inaendelea kufanya vizuri katika Industry ya Muziki..staa huyo karudi tena kwenye headlines baaada ya kuachia video ya ngoma yake mpya ‘Agbomma’.
Video hiyo imeandaliwa na Five Star Music…


Jiunge na mimi kwenye FACEBOOK , TWITTER & INSTAGRAM Usikose kusubscribe kwenye you tube kwa kubonyeza>>>VIDEO
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment