www.kenethngamoga.blogspot.com

VIDEOMPYA: Harmonize ametuletea hii ‘Niambie’ Mpenzi wake Wolper yuko ndani

Kwa wale wapenzi wa video kutoka Bongoflevani hii ni nyingine ambayo nisingependa ikupite ni kutoka WCB, Harmonize ameiachia video ya mdundo wake mpya ambayo video queen ni mpenzi wake kutoka kiwanda cha Filamu nchini Jackline Wolper





Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment