Hatimae michezo ya hatua ya 16 bora hatua ya marudiano ya UEFA Europa League imemalizika usiku wa March 16 2017 kwa michezo nane kuchezwa, tayari timu nane zimepatikana baada ya michezo ya marudiano.
Kujua timu ipi itacheza na timu gani na kama itaanzia nyumbani au ugenini itajulikana kesho mchana baada ya kuchezeshwa droo, UEFA kesho watachezesha droo mbili ya kwanza itakuwa ya UEFA Champions League na baadae itakua ya UEFA Europa League.
Timu nane zilizofuzu kucheza robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017
- KRC Genk
- Celta Vigo
- Besiktas
- Ajax
- ManUnited
- Olympique Lyon
- Anderlecht
- Schalke 0
4
0 comments:
Post a Comment