VideoMPYA: Ommy Dimpoz na Alikiba wanatualika kuitazama video yao mpya ‘Kajiandae’
Mwimbaji wa Bongofleva Ommy Dimpoz November 6 2016 ametuletea video mpya akiwa na Alikiba inaitwa ‘Kajiandae’ ambayo imefanywa na director Justin Campus wa Afrika Kusini, ukishamaliza kuitazama tafadhali usiache kutuandikia comment yako ili wakipita hapa wajue watu wao wameipokeaje
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment