Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp aliyejiunga na klabu hiyo mwezi October 2015 akitokea klabu ya Borrusia Dortmund ya Ujerumani, leo July 8 2016 ametangaza maamuzi mapya ndanni ya klabu ya Liverpool.
Klopp ambaye aliingia mkataba na Liverpool wa kuitumikia klabu hiyo hadi 2018, leo July 8 2016 ametangaza maamuzi mapya baada ya kuamua kuongeza mkataba wa kundelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2022.
Jurgen Klopp ambaye aliiongoza Liverpool katika Kombe la Ligi na Europe Ligi msimu uliopita, alijiunga na Liverpool akiwa na rekodi ya kuisaidia Borrusia Dortmund kushinda mataji mawili ya Ligi pamoja na kuifikisha fainali ya UEFA 2013
.
.
0 comments:
Post a Comment