June 24 2016 TAMISEMI imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali,

June 24 2016 TAMISEMI imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali, Kwa urahisi zaidi unaweza kuyaona majina yote kwenye hii link hapa
0 comments:
Post a Comment