www.kenethngamoga.blogspot.com

Francesco Totti Asaini mkataba wa Mwaka mmoja As Roma

Mshambuliaji wa klabu ya As Roma ya nchini Italy leo Amesaini kandarasi ya mwaka mmoja ya kuendelea kukipiga katika club hiyo mpaka mwaka 2017 yaan katika msimu wa 2016 _2017
Totti mwenye miaka 39 amesaini mkataba wa mwaka mmoja katika klabu hiyo ambapo kama atamaliza msimu huu atakuwa ameishi klabuni hapo kwa kipindi cha miaka 25 yaa tangu alipojiunga na klabu hiyo ya As Roma miaka ya 1989

Angalia video ya magori mawili ya totti
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment