Ni kiziwi na bubu.. lakini licha ya hayo ndiye mwakilishi wa warembo kutoka mkoa wa Pwani katika tamasha la utalii nchini yaani Miss Tourism ambalo linatarajiwa kuandaliwa katika kaunti ya Vihiga.
Mwanahabari wetu Baraka Karama alikutana na Bi Babley Mukila ambaye alimueleza kuwa japo ni mlemavu, ana imani kuwa atawabwaga wapinzani wake
Angalia Video hapa chini
0 comments:
Post a Comment