Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini amewasili nchini humo tayari kuchukua wadhifa wake wa makamu wa urais.Hatau hiyo inajiri baada ya ujio wake mjini Juba kuahirishwa mara kadhaa .Kundi lake linasema kuwa kucheleweshwa kwake kunatokana na mipango ya serikali na kwamba alipanga kurudi siku ya Jumatano.
Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini amewasili nchini humo tayari kuchukua wadhifa wake wa makamu wa urais.Hatau hiyo inajiri baada ya ujio wake mjini Juba kuahirishwa mara kadhaa .Kundi lake linasema kuwa kucheleweshwa kwake kunatokana na mipango ya serikali na kwamba alipanga kurudi siku ya Jumatano
BBC.
0 comments:
Post a Comment