www.kenethngamoga.blogspot.com

Mgunduzi wa barua pepe afariki dunia

Mgunduzi huyu aliibuka na wazo la kutuma ujumbe wa kieletroniki kutoka mtu mmoja hadi mwingine kupitia 
Image copyrightAFP
Image captionRay Tomlinson afariki Dunia
Ray Tomlinson, raia wa Marekani, ambaye ndiye aliyevumbua utumaji wa barua pepe kwa Kiingereza e-mail amefariki dunia.
Tomlinson amefariki akiwa na umri wa miaka 74.
Mgunduzi huyu aliibuka na wazo la kutuma ujumbe wa kieletroniki kutoka mtu mmoja hadi mwingine kupitia mitandao mbali mbali mwaka 1971.
Aliandika ujumbe wa kwanza wa barua pepe wakati akifanya kazi Boston, kama Mhandisi wa kompyuta.
Image copyrightAP
Pia alikuwa mwanzilishi wa matumizi ya alama "at"(@)kuwa ndio alama kuu ya utumaji wa barua pepe.
Wakati wa uhai wake Tomlinson alisema hawezi kukumbuka barua pepe yake ya kwanza ilielezea nini. mbali mbali mwaka 1971.
BBC
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment