www.kenethngamoga.blogspot.com

Imekuwa kawaida kwa watu kubishana kuhusu wachezaji bora wa Dunia ambao wote wamewahi kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia Ballon d’Or kwa zaidi ya mara mojaLionel 79
Imekuwa kawaida kwa watu kubishana kuhusu wachezaji bora wa Dunia ambao wote wamewahi kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia Ballon d’Or kwa zaidi ya mara mojaLionel Messi na Cristiano Ronaldo kuwa yupi ni bora zaidi ya mwenzie.
Hii mada ambayo mara nyingi haijawahi kupatiwa majibu yaani kwa upande fulani, kuridhika na kukiri kuwa fulani ni bora hususani kwa mashabiki wa pande zote mbili, stori kubwa March 7 iliyoingia kwenye headlines ni kuhusu kifo cha jamaa aliyekuwa anabishana kuhusu Ronaldo na Messi nani bora.
885-cristiano-ronaldo-fighting-with-lionel-messi
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment