www.kenethngamoga.blogspot.com

Ajali iliyotokea Tabata Dar na kuua watu asubuhi ya leo tarehe 9,march

Moja ya taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari asubuhi ya leo march 9 2016, ni pamoja na hili tukio la ajali ya magari matatu ambayo ni gari la abiria aina ya DCM, Lori la mchanga na gari lingine lililokuwa limebeba mchanga kugongana katika eneo la Tabata, Dar es salaam.

Hadi sasa hakujawa na uhakika wa taarifa za uhakika kuhusiana na chanzo cha ajali ikiwa ni pamoja na vifo na majeruhi, millardayo.com inaendelea kufuatilia undani wa tukio hili na endelea kukaa karibu ili kila litakalonifikia niweze kukusogezea.
Na hizi ni picha nne za kwanza kutokea katika eneo la tukio…..
IMG-20160309-WA0006
Mashuhuda wakiangalia ajali eneo la Tabata, Dar
IMG-20160309-WA0007
Garia la abiria likiwa limeharibika baada ya ajali
IMG-20160309-WA0008
Hapa ni gari la abiria likiwa limeharibika baada ya ajali kutokea
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment