www.kenethngamoga.blogspot.com

Pam D Ataja tarehe ya kuachia video ya wimbo wake mpya

Staa wa muziki nchini Pam D au Pam Daffa ambaye anaufunguaa mwaka na hit video song 'PopoLipopo' amesema kuwa ndani ya mwaka wa 2016 anafanya kazi zaidi ili kufikia maalengo pamoja huku akiweka azi juu ya mahusiano yake
Staa wa muziki nchini Pam D au Pam Daffa
Mwanadada huyo amekataa kata kata kuwa na mahusiano ila ameweka wazi kuwa kama Mungu akimjalia mwaka huu kupata mchumba basi itakuwa ni kheri kwake kwani yeye binafsi anatamani kufikia hatua hata ya kuwa na mtoto.
Aidha, Pam D akagusia pia kuhusiana na video ya kazi yake mpya iliyobatizwa jina 'PopoLipopo' inayotarajiwa kuachia mwanzoni mwa mwezi Januari 2016
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment