Akizungumza na
waandishi wa habari Alhamisi hii, Mmoja kati ya viongozi wa juu wa kambi hiyo,
Babu Tale, amesema ni bahati kwa wasanii wake kupata wanawake waliowazidi umri.
“Sisi tunameneji
wasanii hatumeneji hisia zao, lakini ikitokea msanii fulani amempenda mwanamke
fulani tunamuacha kwa sababu ni mapenzi yake,” alisema Tale. “Tunaona ni bahati
kwa wasanii wetu kupata wanawake waliowazidi umri, hiyo ni bahati (anacheka)
kwa sababu wanamuenzi Mtume Muhammad (s.a.w.w.) alimuoa Bi Khadija ambaye
alimzidi umri,”
Hata hivyo, Tale
alisema ndani ya WCB hawameneji mapenzi bali wanammeneji msanii pamoja na kazi
zake
VIDEO BY >BONGO5 Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
0 comments:
Post a Comment