www.kenethngamoga.blogspot.com

Bella kuachia moja kila mwezi 20166

King of the Best Melody Christian Bella ametoa shukrani kwa vyombo vya habari na wadau wote katika sekta ya burudani nchini akiweka wazi pia mafanikio kupitia bendi yake ya Malaika Music band.
Staa wa muziki wa dansi nchini King of the Best Melody Christian Bella
Bella amesema mafanikio hayo ni pamoja na kazi zake zote zilizotamba mwaka 2015 ikiwemo kufanya kolabo na gwiji wa miondoko ya bolingo, Koffi Olomide.
Mkali huyo amesema kuwa kuanzia mwaka huu mpya amejipanga pia kuanzisha studio yake mpya akiweka wazi kuwa kila baada ya mwezi mmoja atakuwa akitoa nyimbo kali, hivyo mashabiki wawe tayari kupokea kazi mpya kutoka kwake.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment