www.kenethngamoga.blogspot.com

Ommy Dimpozi kuja na ''Achia Bodi''

Inawezekana ni muda mrefu sana haujamsikia Ommy Dimpoz akizimiliki headlines kwenye ma Radio na TV, sasa time anatarajia kuachia single mpya iitwayo Achia Body iliyotayarishwa na Man Water & Mo Fire
Inawezekana ni muda mrefu sana haujamsikia Ommy Dimpoz akizimiliki headlines kwenye ma Radio na TV, sasa time anatarajia kuachia single mpya iitwayo Achia Body iliyotayarishwa na Man Water & Mo Fire.
Akiongea na ripota wa millardayo alisema..’Baada ya kimya cha muda mrefu kutokana na tours zangu kwahiyo imepita kipindi kirefu sana mashabiki zangu walikuwa wanasubiri ujio wangu ndio maana nikaona sio vibaya kuwapa zawadi ya kufungia mwaka pamoja na sikukuu ya Chrismas’>>> Ommy Dimpoz
WE33333334444444
‘Ndio maana nimeamua kuachia rasmi hii single yangu iitwayo Achia Body imetayarishwa na Man Water & Mo Fire, video nimeshoot Afrika Kusini kikubwa tu zaidi watu wajiandae kucheza muziki mzuri kwahiyo ni ngoma ambayo itawapa watu furaha, na kesho ndio siku ambayo nitaizindua video ya single hiyo mpya pale AKEMI Golden Jubilee Town Dar es Salaam‘>>>Ommy Dimpo
z
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment