Rapper wa Afrika kusini, AKA amesema kufanya collabo za kimataifa sio mpaka ufanye na wasanii wa nje ya Afrika.
Kupitia Twitter AKA amewajibu wanaouliza lini atafanya collabo za kimataifa, amesema kufanya collabo na Diamond, Wizkid au Burna boy ni kufanya collabo za kimataifa
"AKA when are you going to do a song with an INTERNATIONAL artist?" 😓 WTF is Diamond, Wizkid, Burna etc? 😵 LOCAL? Update your IOS please.
— AKA (@akaworldwide) November 18, 2015
AKA ameashiria wazi kuwa tayari anacollabo ndani na Diamond, Wizkid na Burnaboy ambaye tayari wameshirikiana kwenye baadhi ya nyimbo.
AKA alikuja Tanzania mwezi wa tano mwaka huu kwa ajili ya ‘Zari all white party’ na aliingia studio na Diamond na Joh Makini ambaye tayari wimbo umetoka.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment