www.kenethngamoga.blogspot.com

SIJACHUMBIWA BADO ILA NITAOLEWA TU MUDA UKIFIKA " MANENO YA LINAH..

 

Msanii mahiri wa kike Tanzania katika ulimwengu wa Bongo Fleva maarufu kama Linah, alikanusha uvumi wa kuwa eti yeye amechumbiwa kutokana na picha alizozipost za Pete ya Uchumba katika mitandao ya kijamii, Msanii huyo pia aliongeza

kua zile picha alzozipost za pete ya uchumba nizilikua za rafiki yake ambaye kwa sasa anategemea kufunga ndoa.

 Mwana dada huyo alisema kwa sasa bado hajafikiria swala la kuolewa kwa sababu mpaka sasa mwanaume mwenye nia hiyo bado hajajitokeza na hatokurupuka katika swala hilona kama muda muafaka ukifika basi anaamini na yeye ataolewa tu


Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment