www.kenethngamoga.blogspot.com

NDUGAI APETA USPIKA DODODMA


Wabunge wa CCM leo Mjini Dodoma wamempitisha Job Yustino Ndugai kuiwakilisha CCM katika Uchaguzi wa Spika utakaofanyika hapo Kesho. 
Abdullah Mwinyi na Dkt. Tulia Mwansasu walijitoa kwenye kinyang'anyiro

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment