Wakati ligi kuu ikiendelea hii leo katika viwanja mbali mbali hapa nchi taarifa mbaya ni kwamba kuna mchezaji wa coastal union amefariki dunia wakati akiwa anapatiwa Matibabu,,Hii ni kutokana na kugongana na mchezaji mwenzake
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
0 comments:
Post a Comment