-
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema katika oparesheni hiyo jumla ya watuhumiwa 161 wanaojihusisha na biashara ya ukahaba walikamatwa, ambapo wanawake ni 118 wanaouza miili yao, wamiliki wa madanguro 33 na wanunuzi wa biashara hiyo ambao ni wanaume 11
-
Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa wamiliki wote wa madanguro na machangudoa kuacha biashara hiyo mara moja kwani oparesheni hii ni endelevu na watakaokamatwa watachukuliwa hatua za kisheria Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
0 comments:
Post a Comment