Kutoka IKULU Dar es salaam kuna hii ya Rais John Pombe Magufuli ametengua utauzi.
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe March 26 2017 ambapo nafasi hiyo itajazwa baadae
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment