www.kenethngamoga.blogspot.com

Post 10 za Watu maarufu Tanzania baada ya game ya Simba vs Yanga

February 25 leo kulikuwa na mechi kubwa ya Watani wa jadi Simba vs Yanga iliyoisha kwa Simba kushinda kwa goli 2-1 ikiwa ni mechi iliyotazamwa na watu wengi zaidi pamoja na kuhudhuriwa na Waziri Nape Nnauye, Edward Lowassa, Freeman Mbowe, Ridhiwani Kikwete na wengine.

Kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe
Staa wa Bongofleva Mwana FA
Staa wa muziki wa Bongofleva Dogo Janja
Jerry Muro, Mwandishi/AfisaHabari wa Yanga (anatumikia adhabu)
Staa wa BongoFleva Ommy Dimpoz
Mshindi wa BBA Africa, Mchekeshaji/Mtangazaji Idris Sultan
Mwigizaji Elizabeth Michael ‘LULU’
Waziri wa mambo ya ndani Tanzania Mwigulu Nchemba.
Staa wa soka Emmanuel Okwi ambaye amewahi kuichezea Yanga, Okwi kwenye post ya leo aliunga mkono kilichoandikwa na mmoja wa watumiaji wa Twitter Isaya Machaine aliyeandika “Kichuya anafanya vitu kama alivyokua anafanya Okwi…. ameziba pengo vizuri”
Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewj
i
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment