Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux & Vanessa Mdee inawezekana labda aina ya muziki wanaoufanya kuwagusa wasichana wengi.
Itazame hapa
Sasa mastaa hao wawili wanazimiliki leo December 12, 2016 wameachia video mpya ya single yao iitwayo Juu iliyotayarishwa na producer Lufa katika studio za Switcher Records
Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba +255655632798
0 comments:
Post a Comment