Droo imecheshwa na kwa upande wa wale ambao walikuwa wanataka kufahamu, timu ya KRC Genk inayochezewa na nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta itapangwa na timu gani, taarifa ikufikie kuwa KRC Genk imepangwa na FC Astra Giurgiu ya Romania.
Michezo ya hatua ya 32 bora ya UEFA Europa League itachezwa katika mfumo ule ule wa nyumbani na ugenini KRC Genk watacheza ugenini mchezo wa kwanza.
0 comments:
Post a Comment