www.kenethngamoga.blogspot.com

Wachezaji watano wanaowania tuzo ya BBC 2016 na namna ya kuwapigia kura

Shirika la utangazaji Uingereza BBC November 12 2016 limetangaza majina ya wachezaji watano wa Afrika wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2016 wa BBC, majina hayo matano yametajwa live katika kipindi cha TV.

Tuzo hiyo ya BBC 2016 mshindi atatangazwa December 12 2016 live kupitia  BBC Focus On Africa TV na radio,list ya majina matano yaliochaguliwa.
  • Sadio Mane (Liverpool/Senegal)
  • Yaya Toure (Man City/Ivory Coast)
  • Riyad Mahrez (Leicester City/Algeria)
  • Andrew Ayew (West Ham United/Ghana)
  • Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund/Gabon
Kuwapigia Kura Bonyeza >>HAPA ili Upate Maelezo Zaidi
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment