BREAKING NEWS: Samuel Sitta amefariki Dunia
Aliyekuwa Spika Mstaafu wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo, taarifa za awali zinasema amefariki Ujerumani akiwa katika matibabu.
Kaa karibu na tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu msiba huo.
0 comments:
Post a Comment