Ni siku chache zimepita tangu kocha raia wa Uholanzi Hans van Der Pluijm atoke suluhu na Simba, lakini taarifa kutoka ndani ya klabu zinasema siku za kuishi klabuni hapo kwa kocha huyo zinahesabika.
Pluijm ambaye msimu huu amepoteza mechi moja na Stand United haonekani kujali juu ya hilo kwani baada ya mchezo na simba akizungumza kwamba hana sababu ya kufukuzwa kwa kuwa yeye haoni kosa.
Mtoa habari wetu (jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) amesema yanga sasa wanatafuta mkufunzi mwingine na wanadai alipowafikisha Pluijm inatosha na ndipo uwezo wake umefika kikomo hana jambo jipya tena la kukipeleka kikosi mbele
.
.
0 comments:
Post a Comment