www.kenethngamoga.blogspot.com

JINSI YA KUTUMIA AKAUNTI MBILI ZA WHATSAPP KWENYE SIMU MOJA YA ANDROID

Zipo njia mbili za kutumia ili kukuwezesha kuweza kutumia akaunti mbili kwa simu moja ipo OGWHATSAPP pia nyingine ni SWITCHME Lakini leo nitakujuza njia moja ambayo ni OGWHATSAPP

Zipo njia mbili za kutumia ili kukuwezesha kuweza kutumia akaunti mbili kwa simu moja ipo OGWHATSAPP pia nyingine ni SWITCHME Lakini leo nitakujuza njia moja ambayo ni OGWHATSAPP

OGWHATSAPP ni application ya android ambayo itakuwezasha kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja , Leo tutaona jinsi ya kuweka OGWHATSAPP kwenye simu yako kuatana nami mpaka mwisho wa Tips hii


STEP KWA STEP 
1. Fanya back up kwenye whatsapp yako kwa kubofya kibengele kinachosema Back up conversation

2. Futa whatsapp data kwa kwenda kwenye setting's kisha application Manager (app) kisha bonyeza application ya whatsapp kisha bonyeza sehemu inayosema clear data

3. Nenda kwenye Internal memory ya simu ya simu kisha tafuta folder linaloitwa whatsapp libadilishe jina (Rename) kuwa OGWHATSAPP


4. Uninstall (ondoa) whatsapp kwenye simu yako


5. Download OGwhatsapp hapa https://www.dropbox.com/s/kssbcbcxgovpi1o/OGWA.apk?dl=0
 kisha install kwenye simu yako. ifungue OGwhatsapp kisha andika namba yako ya whatsapp ambayo ulikuwa unaitumia kwenye ile uliyoifuta

6. Download whatsapp kutoka playstore halafu install kisha weka namba nyingine ambayo unataka kutumia kwenye whatsapp tofauti na ile ya mwanzo

mpaka hapo utakuwa umekamilisha zoezi la kuweka whatsapp mbili kwenye simu yako
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment